Friday, May 8, 2015

MAJINA 10 MAKALI KIUME NA KIKE

Top 10 ya majina maarufu zaidi mwaka 2014 ni hii hapa mtu wangu !!

Names
Katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na hiki kitu, labda na wewe una mtoto mchanga, au unatarajia kupata mtoto hivi karibuni.. au unatamani kuwa na mtoto alafu umeshaandaa jina kabisa la kumpa akishazaliwa.
Hapa nimekutana na hii list ya majina ambayo baada ya kufanyika utafiti na kujua majina ambayo yalikuwa maarufu zaidi kwa mwaka 2014.. Top 10 ya majina waliyopewa watoto wengi waliozaliwa 2014 mtandao wa Baby Center umeitaja list hii hapa mtu wangu !!
Top 10 ya majina ya watoto wa kike ..
GIRLS NAMES
Top 10 ya majina ya kiume niko nayo hapa pia mtu wangu..
Names
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? tembelea www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment