Friday, May 8, 2015

UPINZANI UINGEREZA WASHINDWA UCHAGUZI

UPINZANI UINGEREZA WASHINDWA VIBAYA

Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza Ed Miliband

Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza Ed Miliband amewaambia wanaharakati wa chama hicho kwamba anajiuzulu kama kiongozi wa chama  kufuatia matokeo duni ya uchaguzi mkuu.
Miliband ambaye amempongeza Waziri mkuu David Cameron kwa kuchaguliwa kwa awamu ya pili amesema kuwa anachukua jukumu la kushindwa kwa chama chake katika uchaguzi huo.
Chama cha leba kimeshindwa vibaya katika uchaguzi huo.

No comments:

Post a Comment