Saratani:Mwanaharakati ajifunga nyororo
Mwanaharakati
David Ndung'u Wanjohi wa Ol Kalau kaunti ya mkoa wa kati nchini Kenya
amejifunga nyororo katika chumba cha dharura cha hospitali kuu ya
Kenyatta Jijini Nairobi na kuanza mgomo wa kutokula ili kupinga kile
alichokitaja kama ukosefu wa vifaa vya kuwasaidia wagonjwa wengi wa
ugonjwa wa saratani nchini.

No comments:
Post a Comment