Monday, May 4, 2015

WASHABIKI WA MANNY PACQUIAO WALALAMIKA

Mayweather VS Pacquaio.. na wewe unasubiri marudiano ya pambano lao???

Floyd+Mayweather+Sr+Floyd+Mayweather+Jr+Workout+HX3ST13Owvwl
Floyd Mayweather na baba yake
Ubishi uliisha kwa matokeo ya points 117 za Floyd Mayweather na points 111 za Manny Pacquiao.. lakini matokeo hayo  wapo ambao hawakuridhika kabisa, wanaamini eti kwa kuwa Floyd alikuwa nyumbani kwao kapendelewa.. wengine wakasema wanasubiri game irudiwe, ila isiwe Marekani tena ili matokeo yawe fair !!
Tusubiri marudiano??? “Haina umuhimu wowote wa kurudia kwa sababu hakuna kitu kipya kitackachotokea..” hayo ni majibu ya Mayweather kuhusu pambano lao kurudiwa.
Manny Pacquiao, from the Philippines, left, is greeted by Floyd Mayweather Jr. after their welterweight title fight on Saturday, May 2, 2015 in Las Vegas.  (AP Photo/Isaac Brekken)
Floyd Money Mayweather na Manny Pacquiao wakipeana mikono baada ya pambano kuisha pale MGM Grand Garden Arena, Las Vegas May 2 2015.
Kapambana mapambano mengi sana.. kapigana na mabondia wote wakubwa, hakuna kitu kilichobaki.. Mwanangu anahitaji kumaliza mkataba wake kwa sasa..“– Hapa amenukuliwa baba yake Floyd ambaye anaitwa Floyd Mayweather Sr.
May Sr.
Floyd Mayweather Sr
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye www.tangakumekuchablog.com

No comments:

Post a Comment