Monday, July 18, 2016

MAJINA 10 YA WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO ULAYA

List ya majina 10 ya wachezaji wanaowani tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya

Shirikisho la soka barani Ulaya leo July 18 2016 limetangaza majina ya wachezaji 10 watakaowania tuzo ya mchezaji bora Ulaya kwa msimu wa mwaka 2015/2016,  majina hayo 10 yametangazwa lakini jina la Cristiano Ronaldo ndio linapewa nafasi ya kushinda tuzo hiyo itakayotolewa August 25 2016.
Majina hayo 10 yametangazwa baada ya kupigwa mchujo wa majina ya wachezaji 37 ambao walikuwa wamependekezwa awali na kupigiwa kura, UEFA imetaja majina ya wachezaji 10 waliofanikiwa kuingia TOP 10 na majina 27 ya wachezaji waliofanikiwa kupigiwa kura.
LIST YA WACHEZAJI 10 WALIOINGIA FAINALI
Gareth Bale (Real Madrid & Wales)
Gianluigi Buffon (Juventus & Italia)
Antoine Griezmann (Atlético Madrid & Ufaransa)
Toni Kroos (Real Madrid & Ujerumani)
Lionel Messi (Barcelona & Argentina)
Thomas Müller (Bayern München & Ujerumani)
Manuel Neuer (Bayern München & Ujerumani)
Pepe (Real Madrid & Ureno)
Cristiano Ronaldo (Real Madrid & Ureno)
Luis Suárez (Barcelona & Uruguay)
MAJINA 27 KATI 37 YA WACHEZAJI WALIOPIGIWA KURA
1 Riyad Mahrez (Leicester & Algeria)
12 Jamie Vardy (Leicester & England)
13 Dimitri Payet (West Ham & Ufaransa)
14 Jérôme Boateng (Bayern München & Ujerumani)
15 Arturo Vidal (Bayern München & Chile)
16 Luka Modrić (Real Madrid & Croatia)
17 N’Golo Kanté (Leicester & Ufaransa)
18 Zlatan Ibrahimović (Paris Saint-Germain/Manchester United & Sweden)
19= Eden Hazard (Chelsea & Ubelgiji)
19= Andrés Iniesta (Barcelona & Hispania)
19= Neymar (Barcelona & Brazil)
19= Renato Sanches (Benfica/Bayern München & Ureno)
23 Robert Lewandowski (Bayern München & Poland)
24 Gonzalo Higuaín (Napoli & Argentina)
25= Giorgio Chiellini (Juventus & Italia)
25= Diego Godin (Atlético Madrid & Uruguay)
25= Will Grigg (Wigan & Northern Ireland)
25= Hugo Lloris (Tottenham & Ufaransa)
25= Paul Pogba (Juventus & Ufaransa)
30= Toby Alderweireld (Tottenham & Ubelgiji)
30= Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund & Gabon)
30= Kevin De Bruyne (Manchester City & Ubelgiji)
30= Kevin Gameiro (Sevilla & Ufaransa)
30= Grzegorz Krychowiak (Sevilla/Paris Saint-Germain & Poland)
30= Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain & Ufaransa)
30= Georges-Kévin N’Koudou (Marseille & Ufaransa)
30= Jan Oblak (Atlético Madrid & Slovenia)

No comments:

Post a Comment