Wafanyabiashara wa Matenga ya
kuku kutoka Gombero Wilayani Mkinga
Mkoani Tanga wakitafuta wateja
mitaani barabara ya Pangani Road jana, Tenga
moja waliuza kwa bei ya 25,000 hadi 30,000.
Matenga ni moja ya upakiaji wa mizigo pamoja na uchuuzi wa samaki hasa Tanga ikiwa ni eneo la bahari na utoaji wa samaki wengi jambo ambalo huwavutia wachuuzi wa ndani na nje ya Mkoa huo.
No comments:
Post a Comment