Matunda ya BBA 2014, hizi ni picha za nyumba ya Idris Sultan Dar es salaam.
Ni
mshindi wa Big brother Africa 2014 Idris Sultan ambae anaendeleza
matunda ya ushindi wake wa BBA na sasa kajipatia nyumba yake ya kuishi
ambayo pamoja na mengine ina sebule mbili na anatarajia kuanza kuishi
kwenye nyumba hii kuanzia Jumapili January 25 2015.Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog

No comments:
Post a Comment