Sunday, January 11, 2015

HEKAHEKA SOKO LA MAKORORA NA MGANDINI, TANGA

 Wachuuzi wa ndizi soko la Makorora Tanga wakisubiri wateja, soko hilo ndio kubwa na kuanzisha utaratibu wa kuwawezesha wakulima wadogowadogo kulitumia soko hilo kwa kuuza mikungu yao  ili kuongeza kipato na  kuwa wakulima wakubwa.





 Mpagazi soko la Mgandini Tanga, Rashid Ally akipakua ndizi kutoka katika lori, kazi hiyo amedai ndio anayoitegemea na kumpatia kipato cha kila siku wakati mkungu mmoja kushusha hutoza shilingi 300
Mpagazi soko la Mgandini Tanga, Abrahman Amir akipakua ndizi kutoka katika lori, kazi hiyo amedai ndio inayomuendeshea maisha yake na humpatia mahitaji yake ya kila siku, mkungu mmoja kuushusha hupata shilingi300.

No comments:

Post a Comment