Saturday, February 14, 2015

DAVIDO HANA KINYONGO KUFANYA SHOO NA STAA YOYOTE

Unadhani kufanya Shoo na staa Davido ni kama shilingi ngapi hivi?

Davido-DiamondFans wa muziki ni mashuhuda wa shoo kali ambazo staa wa Nigeria, Davido ameshiriki na kuzifanya kuwa nyimbo kubwa Afrika na Duniani, sikuwahi kusikia juu ya kiwango cha pesa ambacho analipwa ili kufanya shoo  lakini unaweza kuhisi anahitaji pesa kiasi gani ili afanye shoo na staa yoyote?
Star huyo ameweka wazi kuwa anafanya muziki kwa sababu anaupenda na huwa haitaji malipo yoyote kutoka kwa msanii ambaye anafanya naye shoo wala hakumbuki kama aliwahi kuhitaji malipo kwa ajili ya kushirikishwa kwenye ngoma yoyote.


Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment