Pichaz za matukio yote kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo za GRAMMY 2015 MAREKANI..
Sam Smith
Usiku wa FEB 8 umeweka historia ambayo itachukua nafasi yake kubwa kwenye music industry Marekani, Tuzo za Grammy
2015 zilikuwa LIVE on air mtu wangu usiku wa jana, performance za nguvu
kwenye stage pamoja na picha kali za mastaa hao ndani ya Ukumbi wa
Staples Centre, Los Angeles, Marekani.
Baadhi ya mastaa waliofanya burudani kwenye stage ni pamoja na Madonna, Gwen Stefani, Ariana Grande, Katy Perry, Lady Gaga, Chris Martin, Sam Smith, Mary J. Blige, Beyonce, John Legend, Pharrell Williams, Stevie Wonder na Usher Raymond, huku Collabo iliyotia fora ni ile ya ngoma mpya kabisa, Rihanna feat. Kanye West na Paul McCartney waliyoimba wimbo waFourFiveSeconds.
Upande wa tuzo Sam Smith ameongoza kwa kuchukua Tuzo nne akifuatiwa na Beyonce na Pharrell Williams ambao waliteuliwa kuwania vipengele sita kila mmoja.
Na hii ndio List nzima ya washindi wa Tuzo za Grammy 2015. Record of the Year Sam Smith – Stay With Me Song of the Year Sam Smith – Stay With Me Album of the Year Beck -Morning Phase Best New Artist Sam Smith Best Pop Duo/Group Performance A Great Big World With Christina Aguilera – “Say Something” Best Traditional Pop Vocal Album Tony Bennett & Lady Gaga -Cheek To Cheek Best Pop Solo Performance Pharrell Williams –Happy Best Pop Vocal Album Sam Smith -In The Lonely Hour Best New Age Album
Ricky Kej & Wouter Kellerman -Winds Of SamsaraBest Improved Jazz Solo
Chick Corea – “Fingerprints”Best Jazz Vocal Album
Dianne Reeves -Beautiful LifeBest Jazz Instrumental Album
Chick Corea Trio -TrilogyBest Large Jazz Ensemble Album
Gordon Goodwin’s Big Phat Band -Life In The Bubble Best Latin Jazz Album
Arturo O’Farrill & The Afro Latin Jazz Orchestra -The Offense Of The Drum
Beyonce
Rihanna na Kanye West
Jay Z na mkewe, Beyonce
Jammie Fox akiwa na mtoto wake
Kim Kadarshian na Kanye West
Taylor Swift akisalimiana na Kanye West, pembeni ni Jay Z na Kim Kadarshian
Rapper Common akiwa na John Legend
Kanye West, Kim Kadarshian, Beyonce, John Legend na Chrissy Teigen
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment