Friday, May 8, 2015

ASKARI WALIUWAWA KONGO WAAGWA RASMI DRC

MIILI YA WANAJESHI WALIOFARIKI CONGO IMEAGWA RASMI CONGO

Askari wa Jeshi la Tanzania wakiaga miili ya askari waliofariki huko DRC.
Jeshi la umoja wa mataifa linalolianda amani kaskazini mashariki mwa nchi hiyon  wameanza harakati za kusafirisha miili ya askari wawili wa Kitanzania kuja kuzikwa nyumbani baada ya kuuwawa.

No comments:

Post a Comment