Tuesday, May 12, 2015

KANYE WEST ARUDI DARASANI

Kanye West aongeza elimu zaidi…sasa ni DR. Kanye West!!

WEST3
Tumezoea kuona stori za Kanye West nyingi zikihusu maisha yake ya kimuziki pamoja na familia yake kwa ujumla, lakini leo Rapper huyo wa Marekani amekuja na headlines nyingine.
WEST2
Tofauti na tulivyomzoea Kanye safari hii amefanikiwa kutunukiwa shahada ya udaktari wa sanaa (PHD) katika chuo cha School of Art Instute jijini Chicago.
WEST
Kanye alitunukiwa shahada hiyo katika mahafali yaliyofanyika chuoni hapo jana jumatatu akiwa ni miongoni mwa wanafunzi 900 waliohitimu elimu hiyo.
Licha ya kuwa Brazil Kim Kardashian hakuwa nyuma katika kuonyesha furaha yake baada ya mumewe kutunukiwa cheo hicho na kuamua kumpongeza kupitia mtandao wa Instagram.

No comments:

Post a Comment