Monday, May 4, 2015

MGOMO , MGOMO ,MGOMO ,MGOMO

Hali  mgomo kule Dar ilivyokuwa

AW1A4978
Imerudi kwenye headlines kwa mara ya pili 2015.. April 10 2015 hii ilikuwa stori kubwa sana mitandaoni na kwenye vyombo vya habari, ilipofika saa sita mchana Waziri wa Kazi na Ajira akaongozana na viongozi wengine ikiwemo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda na Kamanda Suleiman Kova.. wakakubaliana, mgomo ukaisha magari yakarudi barabarani.
Leo imejirudia tena, mgomo umeanza asubuhi ya leo Dar na maeneo mengine TZ, watu wanatembea kwa miguu.. wengine usafiri ni lift za magari binafsi, bodaboda na bajaji.
Hii ni picha ya pale Ubungo ndani

No comments:

Post a Comment