Tuesday, May 5, 2015

WATOTO WA MIAKA 13 WAISHI MKE NA MUME

Hawa watoto wameamua kuishi nyumba moja kama wapenzi kabisa?

Kids in Love
Kutoka Shinyanga inahusu vijana wawili, wa kike ana umri wa miaka 13 na wa kiume ana umri wa miaka 16 wameishi nyumba moja kama wapenzi.. wazazi hawakujua kinachoendelea.
Kijana wa kiume amesema msichana alimfuata saa nne usiku akamwambia kwamba amefukuzwa kwao, yeye akamrudisha nyumbani kwao.. baadae akasikia kwamba anatafutwa na wazazi wa msichana huyo.
Msichana amekubali kwamba ni kweli alitoroka akaenda kuishi na mvulana huyo.
Wazazi wamesema mtoto wao alitoroka usiku wakamtafuta lakini hawakumpata, siku ya pili walikuta nguo zimefichwa.. ikapita siku mbili ndio wakamkuta msichana huyo kwa mama yake.
Wazazi wanasema walisikia toka kwa watu kwamba walimuona huyo kijana akiwa ameongozana na kijana huyo wa kiume.
Msichana aliyetoroka kwao bado ni mwanafunzi lakini mvulana hasomi.

No comments:

Post a Comment