Iyanya na mipango yake 2015…

Ni mwaka mpya, kila mtu ana mipango, mikakati ya mambo ambayo atayafanya mwaka huu.
Iyanya
ni mmoja ya mastaa ambao wamepata mafanikio makubwa Afrika kwa mwaka
2015, wote ni mashuhuda wa kazi zake nzuri zilizoshika kwa mwaka wote
2014.
Ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram (@iyanya)
kwamba 2015 ni mwaka wake wa kupunguza stress, kuongeza ubunifu katika
kazi yake, kukutana na watu wakubwa, kutengenez ngoma kali na kupata
pesa nyingi zaidi, kushukuru mashabiki wake na mengine mengi mazuri.
“2015:I
resolve to reduce stress,keep in shape,improve my mental
skills/concentration,meet great people,make more hits/more money.Above
all I want to know my king more and more..appreciate my true fans a lot
more.My God is with us…God bless you @ubifranklintriplemg @selebobo1@teknoofficial @emmanyra @bassokon,Biodun,Ken,Sam,omini,Noah,@niceprinceamaniAmos,bayo aka coope.love you all for making me a stronger G.bless“– @iyanya


Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment