Monday, January 12, 2015

MIRIPUKO, TUMEIKAMATA

 Kaimu kamanda wa polisi Mkoani Tanga, Juma Ndaki, akiwaonyesha waandishi wa habari miripuka ya baruti 475 iliyokamatwa Korogwe katika kizuizi cha polisi ikisafirishwa kwa basi kutoka Arusha kuelekea Dar es Salaam.







  Kaimu kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, Juma Ndaki akiwaonyesha waandishi wa habari miripuko ya baruti  iliyokamatwa wakati ikisafirishwa kuelekea Dar es Salaa kwenye kizuizi cha polisi Korogwe ambapo jumla ya miripuko 475 iligundulika ikiwa imefichwa katika maboxi matatu na kuwekwa chini ya uvungu wa bas

No comments:

Post a Comment