MVUA BALAA DAR ES SALAAM
Maji yakiwa yamejaa katika uelekeo wa kituo cha Sayansi kutokea Bamaga-Mwenge.
MVUA ya
muda mfupi iliyonyesha jijini Dar es Salaam leo iliyaacha maeneo mengi yakiwa yamejaa maji na kusababisha shida
kubwa kwa wakazi wa jiji hilo. Baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na kadhia
hiyo ni Bamaga-Mwenge ambako mitaro yenye kusafirisha maji ilijaa na
maji kufurika hadi katika barabara na kufanya magari kukatisha safari zake na kuwa kero kwa watumiaji wa daladala.
Kumekuchablog iko kwa ajili yako na tembelea kila wakati kupata habar motomoto
No comments:
Post a Comment