Sunday, January 4, 2015

SAMAKI TAA NAMCHUNA

 Mchuuzi wa samaki bandari ya Wete Wilaya ya Kaskazini Pemba, Faki Mwadini, akichuna ngozi ya samaki aina ya Taa. Kazi ya kuwapaa samaki na kuwachuna ngozi imekuwa ikiwapatia ujira  vijana wengi  hasa nyakati za samaki wengi.





No comments:

Post a Comment