Thursday, March 16, 2017

BAIBUI HULA TANI 400 KWA MWAKA

Bui bui hula zaidi ya tani milioni 400 za wadudu kila mwaka dunianiWanasayansi wamefanya hesabu na kugundua kuwa buibui wote walio katika sayari ya dunia, hula kati ya tani 400 na 800 ya wadudu kila mwaka.
Watafiti hao walikuwa wakichunguza umuhimu wa kiuchumi wa buibui.
Wanasema kuwa hamu yao ya kula inamaanisha kuwa wanakula karibu kiwango kimoja cha nyama na samaki ambayo huliwa na binadamu kila mwaka.

No comments:

Post a Comment