Sunday, March 26, 2017

RISASI ZARINDIMA OHIO

Watu kadha wapigwa risasi kwenye klabu nchini MarekaniMtu mmoja ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa kufuatia ufyatuaji wa risasi kwenye klabu ya usiku huko Cincinati jimbo la Ohio.
Takriban watu wawili waliokuwa na silaha walitekeleza shambulizi kwa mujibu wa polisi.
Watu kadha walipata majeraha mabaya.
BBC

No comments:

Post a Comment