Monday, March 20, 2017

MKUTANO WA MBUNGE JIMBO LA TANGA MJINI , TANGAMANO



Mbunge wa jimbo la Tanga mjini, (CUF) Mussa Mbarouk, akiwahutubia  wananchi na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Tangamano juzi.




  Maofisa usalama wakiwazuia wafuasi wa Chama Cha Wananchi (CUF) waliokuwa wakimzuia Mbunge wa jimbo la Tanga mjini ,Mussa Mbarouk asiondoke eneo la mkutano kabla ya kujibu majibu maswali yao wakati alipofanya mkutano wa hadhara uwanja wa Tangamano juzi.

Wafuasi wa Chama Cha Wananchi (CUF) wakipinga kuondoka Mbunge wao wa Tanga mjini , Mussa Mbarouk  eneo alipofanyia mkutano wa hadhara Tangamano juzi kabla ya kujibu maswali yao.

No comments:

Post a Comment