Wednesday, March 15, 2017

TUNAWAHI SHULE MSTARINI



Wanafunzi wa shule ya msingi Mkwakwani Tanga wakiwa wamepakizana kwa mtindo wa mishkaki kuelekea shule leo. Wanafunzi wanaoishi nje ya mji hutumia baskeli kuwahi vipindi vya masomo darasani kama walivyokutwa na Camera za Tangakumekuchabloh leo asubuhi.






No comments:

Post a Comment