Friday, March 24, 2017

WIKI YA MAJI NA KERO YA MAJI MUHEZA TANGA

 Wananchi wa Kirapula Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiwa katika kero ya upatikanaji wa maji kipindi hiki cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji Nchini.
Wilaya ya Muheza kwa muda mrefu iko na kero ya maji ambapo Serikali iko mbioni kumaliza kero hiyo ambapo jitihada za Serikali iko mbioni.





No comments:

Post a Comment