Thursday, March 9, 2017

SOKONI DEEP SEA TANGA



Wachuuzi wa samaki soko la Deep Sea Tanga, wakipanga samaki kusubiri wateja jana, Wachuuzi hao mbali ya kuwa na samaki wa kila aina lakini wamekuwa wakilalamika kukosa wateja kwa madai  kutokana ugumu wa maisha.



 Wachuuzi wa  samaki soko la Deep Sea Tanga, Nora Makaraga  (kushoto) na Abubakary Kitogo (kulia)   wakiwaangalia samaki aina ya Chewa aliemnunua kutoka kwa mvuvi, Samaki huyo aliuzwa  kwa shilingi,25,000 kila mmoja.




Mchuuzi wa samaki soko la Deep Sea Tanga, Nora Makaraga, akimuangali samaki aina ya Kipepeo aliemnunua kutoka kwa mvuvu, Samaki huyo aliuzwa kwa shilingi 20,000

No comments:

Post a Comment