Saturday, March 4, 2017

CHANGAMOTO YA MAJI MAGUNDI KOROGWE VIJIJINI

 Wakazi wa kijiji cha Magundi Tarafa ya Bungu Wilayani Korogwe Mkoani Tanga wakichota maji kutoka katika milima ya Usambara kufuatia uhaba wa maji na mvua kuacha kunyesha.
Wakazi hao wametega maji ambayo yamekuwa yakitiririka kutoka milimani ambayo ni safi na salama yenye ubaridi.






No comments:

Post a Comment