Sunday, March 26, 2017

SOKONI MGANDINI TANGA

 Wafanyabiashara soko kuu la Mgandini Tanga wakiwa wamepanga biashara zao chini katika madimbwi ya maji machafu na kuhatarisha afya za walaji hasa kipindi hiki cha mvua ambacho kinaweza kuwa chanzo cha magonjwa ya Miripuko.





No comments:

Post a Comment