Tuesday, March 21, 2017

KITUO CHA AFYA MIKANJUNI TANGA NA CHANGAMOTO ZAKE


Maji machafu yakiwa yametuama ndani ya kituo cha Afya cha Mikanjuni Tanga  tokea miundombinu ya maji taka kubomoka hadi muda huo haijatengenezwa na kukosa njia na kuwa kero kwa wagonjwa waliolazwa  na wahudumu wa kituo hicho.





No comments:

Post a Comment