Thursday, March 16, 2017

MSIMU WA MACHUNGWA SEGERA TANGA

 Wachuuzi wa machungwa kituo cha Segera makutano ya barabara ya Kilimanjaro, Dar es Salaam na Tanga mjini wakihesabu machungwa na kuuza kwa wasafiri wapitao njia hiyo ikiwemo wa mabasi yaendayo Mikoani na Wilayani.
Wachuuzi hao wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika na badala yake wamekuwa wakiuza kwa wateja mmoja mmoja wa mabasi kupitia madirishani kwa njia ya hasara kuepuka kuwaozea mikononi.






No comments:

Post a Comment