Monday, March 13, 2017

RAHA YA KAZI NA FURAHA



Mafundi wa ujenzi vyumba vinne shule ya msingi Mgila Gerezani Wilayani Korogwe Mkoani Tanga wakifurahia jambo wakati wakichanganya mchanga jana, Ujenzi huo unatokana na nguvu za Serikali na wananchi.






No comments:

Post a Comment