Tuesday, March 21, 2017

BANDARINI DEEP SEA TANGA



Wavuvi bandari ya Deep Sea Tanga wakishona nyavu ufukweni mwa bahari ya Hindi  Leo  ambazo zimetobolewa na samaki wakati wakivua.








Wavuvi wa samaki baharini bandari ya Deep Sea Tanga, wakikifanyia usafi  chombo chao kwa kuondoa uchafu ulioganda na kusababisha kuoza kwa  mbao  na kuweka rangi inayozuia kuoza kwa  mbao mara baada ya kutoka kuvua leo .






No comments:

Post a Comment