Saturday, March 18, 2017

BEI ZA NAFAKA TANGA ZAPANDA MARADUFU, UNGA WA SEMBE 1,800 KILO



 Mfanyabiashara wa Nafaka barabara ya 15 Ngamiani Tanga, Issa Abeid, akitayarisha nafaka zake kusubiri wateja,Mharage alikuwa akiuza1,800, Choroko, 2,200 na Mtama 1, 200.
Baadhi ya wakazi w ajiji la Tanga waliozungumza na tangakumekuchablog wamelalamikia nafaka nyingi kupanda bei maradufu ukiwemo unga wa sembe na sukari na kusema kuwa mamlaka ya usimamizi wa bei za vyakula kuingilia kati.
Wamesema kuendeleo hali hii kunaweza kuwapa uzito wengi walio masikini na kushindwa kumudu gharama za maisha.







 Mfanyabiashara wa nafaka soko kuu la Ngamiani Tanga, Twahiru Abeid, akimpimia mteja moja ya nafaka katika genge lake, Mchele alikuwa akiuza, 2,200.

No comments:

Post a Comment