Sunday, March 5, 2017

GULIO LA TANGAMANO TANGA



Wanafunzi wa shule ya Sekondari Tanga wakichagua viatu katika Gulio la Tangamano Tanga jana. Gulio la Tangamano ni kila siku ya jumanne , Alhamisi na Jumamosi.




 Mfanyabiashara Gulio la Tangamano Tanga, Mohammed Angelus akipanga viatu vyake kusubiri wateja, Gulio la Tangamano ni la kila Jumamosi na Jumanne na Alhamis.

Wakazi wa Tanga wakichagua viatu Gulio la Tangamano Tanga jana, Gulio la Tangamano ni kila Jumamosi na Jumanne na Alhamis.

No comments:

Post a Comment