Sunday, March 12, 2017

KATIBU TAWALA TANGA AONGOZA MAZOEZI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA




 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga, Zena Said, akiwaongoza wafanyakazi wa Taasisi za Serikali, mashirika ya umma na wakazi wa Tanga katika mazoezi yanayofanyika kila Jumamosi ya mwanzo wa mwezi yaliyofanyika uwanja wa Mkwakwani Tanga jana.





No comments:

Post a Comment