Friday, March 17, 2017

PAUL POGBA NJE , APATA JERAHA LA MSULI

Paul PogbaKiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba hataweza kuchezea klabu hiyo mechi ya Ligi ya Premia Jumapili ugenini dhidi ya Middlesbrough.
Hii ni baada yake kupata jeraha kwenye misuli ya paja.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa aliumia kipindi cha pili cha mechi ya ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League, kati ya United na FC Rostov ya Urusi na ikamlazimu kuondoka uwanjani.

No comments:

Post a Comment