Saturday, March 25, 2017

TUNAELEKEA KUVUA , WAVUVI BANDARI YA TANGA

 Wavuvu katika bandari ya Deep Sea Tanga wakiianza safari kuelekea baharini kuvua huku kukiwa na ukungu mwingi wa mvua na baridi kama walivyokutwa na Camera za Tangakumekuchablog leo.
Wavuvi wengi wamekuwa wakifanya shughuli zao za uvuvi katika mazingira magumu na kuiomba Serikali kulegeza masharti ya upatikanaji wa leseni.





No comments:

Post a Comment