Sunday, March 12, 2017

GARI YAANGUKA JUU YA PAA LA NYUMBA CHINA

Gari lapteza mweleko na kuanguka katika paa la nyumba ChinaGari moja lilipoteza mwelekeo katika mji wa Taizhou uliopo mashariki mwa China ,kuteleza barabarani na kuanguka katika paa la nyumba.
Dereva wake alisema kuwa alijaribu kuzuia ajali ya ana kwa ana na bahati mbaya akakanyaga kichapuzi cha gari alipokuwa akibadilisha mwelekeo wa gari hilo.

No comments:

Post a Comment