Friday, March 17, 2017

MOTO UNAZIMWA KAMA HIVI



Mtumishi ofisi jengo la  Mkuu wa Mkoa Tanga, Merry Faustine, akizima moto kwa kutumia mtungi wa gesi wakati wa mazoezi kwa watumishi wa Serikali na Mashirika ya umma katika majengo wanaofanyika kazi yaliyoandaliwa na kikosi cha Zimamoto na Uokozi Tanga na kufanyika nje ya jengo la Mkuu wa Mkoa jana.






Mtumishi wa Serikali, Ipyana Mlilo, akizima moto wakati wa mafunzo ya uzimaji moto yaliyotolewa na Kikosi cha Zimamoto na Uokozi kwa watumishi majengo ya gorofa kwa kupata mbinu na  kuweza kukabiliana na majanga.

No comments:

Post a Comment