Tuesday, March 21, 2017

MVUA YA SIKU MOJA USIKU TANGA KILIO KWA WAKULIMA SHAMBA LA NGOME



Wakulima shamba la Ngome Chumbageni Tanga wakitoa magugu na mchanga kwenye mfereji ili kutoa muelekeo wa maji baada ya kuziba na kuingia katika mashamba yao ya mpunga na bamia kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa juzi.






No comments:

Post a Comment