Friday, March 10, 2017

NAIBU WAZIRI, JAFO BAADA YA KUZINDUA VYUMBA VYA MADARASA, KOROGWE, TANGA




 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suleiman Jofo, akisalimiana na wanafunzi wa shule ya msingi ya Kilimani kata ya Mtonga Wilayani Korogwe Mkoani Tanga mara baada ya kuzindua vyumba vinne vya madarasa juzi.




Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) , Suleiman Jofo, akizindua vyumba vinne vya madarasa shule ya msingi Kilimani kata ya Mtonga Wilayani Korogwe Mkoani Tanga juzi.

No comments:

Post a Comment