Sunday, March 26, 2017

WAFANYABIASHARA WA MACHUNGWA NA MAEMBE SOKO LA MLANGO WA CHUMA TANGA NI KILIO

 Wafanyabiashara wa machungwa na maembe soko la Mlango wa Chuma Masiwani Tanga wakihesabu matunda yao kwa kuuza kwa wataja mmoja mmoja baada ya kukosa soko la kuuzia bidhaa zao. Wafanyabiashara hao kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika ikiwemo kiwanda cha kusindika matunda ambacho kinglikuwa msaada kwao kwa kuuza kwa wawekezaji.





No comments:

Post a Comment