Monday, March 13, 2017

MBOGA YA MCHICHA KUTIBU MARADHI MENGI

Mboga Ya Mchicha Hutibu Maradhi Yafuatayo


FAIDA YA MBOGA YA MCHICHA NI DAWA YA KUTIBU MARADHI MENGI TU UKITUMIA.
  1. Kuumwa mgongo
  2. Kusafisha njia ya mkojo
  3. Kusafisha damu
  4. Unatibu tigo
  5. Unatibu minyoo
  6. Unatibu damu
  7. Baridi yabisi
  8. Tezi la shingo
  9. Homa
  10. Kuongeza damu
  11. Unatibu maumivu
  12. Tonic ya nywele
  13. Unasaidia kupata haja ndogo kwa wingi

MATAYARISHO
Chukua mchicha kilo 1 chemsha maji lita 2 na nusu.
Yakichemka loweka mchicha kwa dakika 15. Tumia kikombe. Ni bora utumie yote kwa siku . Dozi ni siku 5

KUTIBU MGONGO
Chukua mchicha ponda. Chua mara 3 kwa siku. Usiku unapasha moto mchicha kisha unufunga mahali panapouma. Lala nao wakati vuguvugu la joto lake lenye maji ndani (dawa) ikiingia ndani fanyahivyo kwa siku 5, ukibadilisha kila siku (fresh)

TIBA YA TEZI LA SHINGO
Chukua mchicha kiasi kidogo, ponda, fungia shingoni pale penye uvimbe wakati unapolala kwa kitambaa, kwa muda wa siku 5.
MGBLOG

No comments:

Post a Comment