Saturday, March 25, 2017

TUNASOMBA TAKATAKA MITAANI

 Gari la kusombea takataka linalodaiwa kuwa la halmashauri ya jiji likipita mitaani kusomba takataka na kupeleka dampo la Duga Tanga huku likiwa halina vifaa maalumu bvya kukingia uchafu kudondoka chini kama lilivyokutwa na Camera za tangakumekucha eneo la Duga Mwembeni leo.



No comments:

Post a Comment