Friday, March 24, 2017

KINYANG'ANYIRO KUFUZU KOMBE LA DUNIA KUTIMUA NYASI LEO

KOMBE LA DUNIANyasi za viwanja tisa zitawaka moto leo katika michezo ya kuwania kufuzu kombe la dunia la mwaka 2018 kwa kanda ya ulaya.
Michezo ya kundi D Georgia watacheza na Serbia, Austria watakua wenyeji wa Moldova na Ireland wakicheza na Wales.
Katika kundi G Hispania watakipiga na Israel, Liechtenstein wao watapimana ubavu na Macedonia, waitaliano wao watakipiga na Albania.
Croatia wao watakua wenyeji wa Ukraine, huku Kosovo wakicheza na Iceland nao Finland wakiwa ugenini dhidi ya Uturuki hii ikiwa ni michezo ya kundi I

No comments:

Post a Comment