Mshambuliaji wa Arsenal Alex Iwobi
anataka meneja wa klabu hiyo Arsene Wenger kusalia Emirates na kusema
kuwa kukosolewa kwake sio sahihi.Magoli 10-2 ikiwa ni uwiano waliofungwa na Bayern Munich katika michuano ya Ulaya imeongeza msukumo kwa meneja huyo, huku akisema kuwa atafanya maamuzi sahihi katika siku za usoni.
BBC
No comments:
Post a Comment