Saturday, January 10, 2015

HEKAHEKA MAANDALIZI YA SHULE, TANGA

 Wakazi na watoto  Tanga wakichagua viatu soko la Tangamano jana ikiwa ni maandalizi ya kufunguliwa shule ambazo zinatarajiwa kufunguliwa kesho Jumanne nchini kote.





  Mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi ya Mwanzange halmashauri ya jiji la Tanga, Khalid Said, akisaidiwa na dada yake kujaribu kaprura ikiwa ni maandalizi ya shule ambazo zinatarajiwa kufunguliwa nchini kote  Jumanne.

No comments:

Post a Comment