Friday, February 3, 2017

MAADHIMISHO SIKU YA SHERIA NCHINI, VIWANJA VYA MAHAKAMA TANGA

Kamanda wa kikosi cha kutuliza ghasia Tanga, Omari Kisaro, akimuongoza Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu kanda ya Tanga, Imani Aboud wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Sheria Nchini yaliyofanyika katika viwanja vya Mahakama jana.







 Kikosi cha askari wakiwa katika paredi viwanja vya mahakama jana.

No comments:

Post a Comment