Kamanda wa polisi Mkoani Tanga, Benedict Wakulyamba,
akifungua kikao cha viongozi wa dini kuzungumzia Usalama na Amani Mkoani humo
jana.
Viongozi wa dini mbalimbali walioshiriki katika kikao cha viongozi wa dini Mkoani Tanga kuzungumzia Usalama na Amani ya Mkoa huo jana.
Sheikh wa Mkoa wa Tanga, Juma Liuchu akifuatlia kongamano la amani na usalama Tanga jana.
No comments:
Post a Comment