Panya asababisha safari ya ndege kuchelewa Uingereza


Safari ya ndege kutoka uwanja wa Heathrow hadi San Francisco, ilichelewa kwa saa kadhaa baada ya panya kuonekana ndani ya ndege.Kisha mhudumu huyo akasema wameambiwa ndege nyingine imepatikana lakini abiria wangesubiri saa kadhaa ili kuanza safari.
Kisha safari nyingine ikaanza saa nne baadaye.
Shirika la ndege la Uingereza lilisema; "Tunaelewa kuwa karibu kila mtu anataka kusafiri nasi hadi San Francisco, lakini wakati huu kulikuwa na mteja mdogo ambaye lazima tungemtoa.
No comments:
Post a Comment