Wawekezaji kutoka China wakimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Tanga,
Martin Shighela ramani ya ujenzi wa kiwanda cha saruji ambacho kitajengwa eneo
la Amboni Tanga ambalo litakuwa na ukubwa wa eneo ekeari zaidi 2,800.
,Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shighela na ujumbe kutoka China wakitoka kukagua eneo kitakapojengwa kiwanda cha Saruji na Wachina Amboni Tanga chenye ukubwa wa ekari zaidi ya 2,800.
Kiongozi wa ujumbe kutoka China, Peng Jian Xin, akimuonyesha ramani Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shighela eneo ambalo watajenga kiwanda cha saruji Amboni Tanga ambalo liko na ukubwa wa ekari zaidi 2,800.
No comments:
Post a Comment