Tuesday, March 8, 2016

AJALI BARABARA YA MANDELA EXTORNAL DAR

AJALI MBAYA YATOKEA ASUBUHI HII BARABARA YA MANDELA DALADALA YAGONGANA NA LORI LILILOBEBA NG'OMBE YASABABISHA VIFO NA MAJERUHI

Ajali Mbaya imetokea eneo la Tabata Matumbi, Ajali iliyohusisha Lori la Ng'ombe na Daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo la Mboto kuelekea Ubungo 
Abiria kadhaa Wamepoteza Maisha na wengine wengi Wamejeruhiwa Vibaya sana





 

No comments:

Post a Comment